Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 3,140
- 5,733
Hiyo 500k ndio imeshapotea hivyo. Naamimi nilishalipwa kwa njia nyingineSasa wewe umelipwa na nani 500k yako mkuu??
Wala sijampa, sio kwa dharau zile jamani. Bora angekuwa muu gwana akajibu kwa hekima kuwa sinaKama una nauli mpe tu, aende zake!
Duu. Pole yake.watu hawajui kuwa maisha ni mzungukoNi kawaida marafik zetu waliopata kaz kukengeuka na kutafuta marafik wapya au kubadili behaviour....juz kuna rafk kaniomba 20k huyu jamaa alipata kaz zur na hakuwahi kunitafuta kaz imeisha amenitafuta jana ANYWAY NMEMPA HIYO 20K
Yaani, eti ananiita my old friend. Ila nimemshauri usichukulie wema wa mtu for granted.Malipo ni hapahapa duniani
Na ukimuona anatia huruma. Haya maisha sio kabisa. Hakuna kitu naheshimu kama mtu alyenitendea wema na kulipa deni mapema. Ikitokea nimeshindwa kwa wakati namtaarifu tu kiungwana.Kuna watu huwa wanajisahau sana kwenye haya maisha,,,ona sasa jamaa nauli tu imekuwa kimbembe.
KwakweliNa ukimuona anatia huruma. Haya maisha sio kabisa. Hakuna kitu naheshimu kama mtu alyenitendea wema na kulipa deni mapema. Ikitokea nimeshindwa kwa wakati namtaarifu tu kiungwana.
Ni jambo linauma ila mimi nimejifunza kuwaelewa watu. Mara nyingi watu huwa karibu kwa sababu ya jambo fulani.Ni kawaida marafik zetu waliopata kaz kukengeuka na kutafuta marafik wapya au kubadili behaviour....juz kuna rafk kaniomba 20k huyu jamaa alipata kaz zur na hakuwahi kunitafuta kaz imeisha amenitafuta jana ANYWAY NMEMPA HIYO 20K
Kama pesa unayo mpatie tu.Habari za mchana. Yaani jana nimeamini malipo na hapahapa duniani. Kuna rafiki yangu aliwahi kuja na kuishi kwangu mwaka 2018 sababu alikuwa na matatizo.
Alikaa kama mwezi, wakati wa kuondoka akaniomba kiasi cha pesa kama 500k akiahidi atanirudishia. Maisha yakaendelea. Akapata bingo maisha yake yakawa maazuri hadi akanunua usafiri etc. Kuna kipindi nikawa nauguza mama yangu nikamkumbushia ile hela, alinizungusha wee mwishowe maneno ya kejeli. Mimi nikaachana naye.
Yaani jana nikapigiwa na simu ngeni, kusikia sauti nikamuuliza kulikoni umzpotea njia. Ohh naomba tuonane. Kaja jioni karibu na nyumbani, kachoka kwelina hana usafiri. Ananihadidhia kilichompata, eti katapaliwa na rafiki yake wa karibu na anaomba nimkopeshe nauli arudi kwao. Ninamuambia sina apambane na hali yake.