Karma inaniumiza sana mwenzenu

Pasco wa jf njoo huku wengine sie tuna ubongo mdogo aka kichwa kigumu nimeshindwa kumwelewa mtoa mada au sielewi maana ya neno karma, nimekuita maksudi kwakuwa unalitumia sana neno "KARMA"
 
Kweli Mkuu ila Mwalimu naye hujifunza
Kulingana na uzi wako ni kumbukumbu tu zinakusumbua hakuna uhalisia, furahia maisha mkuu, wacha kutunza kumbukumbu mbaya!


Na uzishinde hofu zako.



Ahsante kwa huu uzi maana nimegundua una nyuzi nzuri sana, ila usijifungie niwe napitiapitia.
 
Apo umeongea vitu viwili tofauti,ushindani Kati ya mwili na roho na karma,Kama Ni Kweli unahitaji msaada vi2 hivyo vinasumbua Sana,nlishawahi kuexperience vyote hivyo nikafanikiwa,now naweza hata kuvi handle hata Kama vikitokea Tena.
 
Kwa ulichoeleza hapo, kinachokusumbua ni kumbukumbu? Kumbukumbu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu wamejawa na kumbukumbu katika mawanda yake yote.Hakuna tunachokifanya nje ya kumbukumbu tukio nazo kwa kujua au kutokujua.
Mathalani hata kumbukumbu ya muonekano wa mtu inatunzwa kwenye D.N.A. n.k.."we are full of memories"..tatizo ni kwamba inanisumbua sana.
Apo umeongea vitu viwili tofauti,ushindani Kati ya mwili na roho na karma,Kama Ni Kweli unahitaji msaada vi2 hivyo vinasumbua Sana,nlishawahi kuexperience vyote hivyo nikafanikiwa,now naweza hata kuvi handle hata Kama vikitokea Tena.
 
Nawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.
Punguza kula kitimoto
 
Kumbukumbu huwa nyingi sana huwezi kukumbuka zote na mfano hata ulimi tu hutunza kumbukumbu za ladha za vyakula au vinywaji inavyovionja..."mtu ni kumbukumbu".
Zikikusumbua ndiyo taabu na taabu yangu ipo hapo.
 
Kwa lugha nyepesi ni utavuna ulicho panda.
Kwa lugha ngumi is what goes around comes around.
Kuna jamaa niliwahi kumsikia akisema let me letting karma do his dirty job.
Wengine wanasemaka karma ize bichi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom