Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,398
- 14,520
"Namshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM kwa kazi kubwa aliyoifanya hasa kugusa maisha ya wakulima na kutukwamua kiuchumi. Ni Rais pekee ndani ya kipindi cha miaka minne na Nusu ameweza kutugusa sisi kwa kuboresha maisha yetu. Aliweza kufanya uthubutu wa kutoa pembejeo za zao la korosho za Bil 763 jambo ambalo halijawahi kutokea hapa nchini" Karimu Chipola- Mwenyekiti TANECU LTD
Soma > Mwenyekiti wa TANECU, Karimu Chipola amuombea kura Mgombea Urais CCM Rais Samia
Soma > Mwenyekiti wa TANECU, Karimu Chipola amuombea kura Mgombea Urais CCM Rais Samia