Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,762
- 5,276
Way back sana, nadhani hivi sasa labda ni mzee au alishadanji..
Sure yupo around hapo huyo mshikaji wa jamaa kashakuwa mshua, kama yupo live.Yupo kwenye 50's
Mbona umeongea kama unamjua Jamaa KarimKarim alikua Canada. Mtafute Mehdi Remtullah atakupa info zake.
Hapana ninayemjua vema ni Mehdi. Japo ni miaka kenda sana sijaonana naye wala ku interact naye.Mbona umeongea kama unamjua Jamaa Karim
Okay jamaa anaongelea kitu cha miaka mingi sana.Hapana ninayemjua vema ni Mehdi. Japo ni miaka kenda sana sijaonana naye wala ku interact naye.
Huyo mtafute USA au UKKarim Rehmtullah nilisoma naye Shaaban Robert Secondary mwaka 1984 hadi 1987. Alikuwa rafiki yangu sana. Tumepotezana tokea tumemaliza O-level. Bibi yake ndiyo alikuwa anamiliki ghorofa fulani Uhuru Street linaitwa “Mary Martis”. Naomba kwa wanaomjua wanitonye mshikaji yupo wapi. Asanteni.
Huyo punga asimtafuteUkoo wa Remtullah.(Shia Ithna Asheri Jamaat)
Ukimpata Ally Remtullah mwanamitindo huyu itakua rahisi kumpata Kareem.
Nilihisi tu hawezi kuwa bongoKarim alikua Canada. Mtafute Mehdi Remtullah atakupa info zake.
Alimaliza chuo bongo kama sikosei 98. Alikua anasoma famasia.Nilihisi tu hawezi kuwa bongo
😅😂😂😅Huyo punga asimtafute