Karibunii Vijana wa CHADEMA.,Karibuni CCM…!

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Katika mambo ambayo yameongeza mvuto wa shughuli za kisiasa hapa nchini, ni kile kinachoonekana kuwa Chama Cha Mapinduzi kushika hatamu katika kuonyesha dira ya uongozi wa shughuli za kisiasa hapa nchini. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Chama Cha Mapinduzi kufanya mabadailiko katika safu yake ya uongozi kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za kata na mashina.

Kimsingi ni kwamba hali ya siasa ndani ya chama cha Mapinduzi imeendelea kuwa shwari na ya Utulivu ambayo inawapa fursa viongozi wa chama hiko kufanya kazi kwa ushirikiano na umoja zaidi tofauti na kipindi cha nyuma ambapo makundi yalikaribia kukiangamiza chama hiko kikongwe hapa nchini.

Mafanikio ambayo yanaonekana kupatikana ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, ambapo kumekuwepo na kasi inayoridhisha ya utekelezaji wa ahadi zake na pia usimamizi makini wa shughuli za serikali katika kuwaletea Maendeleo wananchi.

Kuanzia Mawaziri, Mananibu, Wakuu wa Idara na vitengo Serikalini, wakuu wa mikoa na ma_DC pamoja na wakurugenzi wamegeuka kwa wachapa kazi hodari chini ya usimamizi wa viongozi wa CCM ambao hupita kufanya ziara na kutoa maagizo mbalimbali ya utekelezaji na utatuzi wa kero za wananchi katika maeneo hayo. Ma-DC wapya ambao wengi wametokana na UVCCM, wamekuwa mstari wa mbele katika kusimamia ILANI ya Chama katika ngazi za wilaya wakishirikiana na wa_NEC wa Wilaya pamoja na Wenyeviti wa Chama Wa wilaya wa UVCCM na CCM.

Kasi hii imeongezeka na kutia faraja zaidi kwa chama cha Mapinduzi kufuatia matukio ya Vijana wa Chadema kuuona na kuushuhudia ulaghai mkubwa wa Chama hiko, na hivyo kuamua kuamia CCM makundi kwa makundi, tumeshuhudia Matukio ya Kuhama kwa Mwenyekiti wa Chadema UK, Lukosi na Safu yake ya uongozi na kurudi CCM, tumeshuhudia SHONZA makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa akijiunga na CCM, akiongozana na MTELA na wengineo, tumekuwa tukipata taarifa kila kukicha ya vijana kuhamia CCM hata katika yale maeneo ambayo upinzani umeonekana kuwa ni ngome yao kama mikoa ya Kilimanjaro na Arusha pamoja na Manyara.

Matukio ambayo yamekuwa kivutio cha wengi na hasa baada ya Vijana hao kupata nafasi ya kuieleza hadhira juu ya sababu zao za msingi zilizowakimbiza Chadema ambapo walitaja kuwa ni Ubaguzi uliokithiri na Upendeleo, ambapo wengi wao walieleza kinagaubaga kuwa Chama hiko ni cha wanaharakati na wala si chama ambacho kinaviongozi makini na watawala wenye hekima.

"Chadema haina viongozi wala watawala bali ni kikundi cha wanaharakati ambao wanaendesha harakati zao kwa maslahi binafsi na ubaguzi mkubwa" aliwahi kusikika Mtela Mwampamba ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Mbeya.
Kwa wale ambao wanawafahamu watu kama LUKOSI, MWAMPAMBA, SHONZA, ABDUL ISSA n.k na harakati zao na mikakati yao ya kuieneza na kuiimarisha CHADEMA hapa nchini, wamepigwa na butwaa baada ya matukio haya ya watu hao kuihama chadema, lakini wengi wameshtushwa zaidi na taarifa hizo juu ya kinachoendelea Chadema, na wanajiuliza hatma ya Chama hiko ni ipi.?

Pamoja na sababu nyingine pia vijana hao walifikia Uamuzi huo wa kukihama chama hiko baada ya kupigania kusimamisha Demokrasia ya kweli ndani ya Chadema na kupinga ukiukwaji wa Katiba, Kanuni na Taratibu uliokuwa ukifanywa na "viongozi wakuu" wa Chadema.

WanaCCM wote pamoja na Mimi tunawapongeza vijana hawa kwa uamuzi wao ambao wenyewe wameutambua kuwa ni "uamuzi sahihi" na kila mmoja katika sisi tumekiri kuwa uamuzi uliofanywa na vijana hawa ni uamuzi sahihi tena ulio thabiti ambao kila kijana ambae anafikiri sawasawa anatakiwa kuuchukua.

Pamoja na pongezi hizo, tuchukue fursa hii kuwataka vijana ambao wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA kuona hatari inayoendelea Chadema na hasa baada ya kudhihirika sura yao kamili kwenye macho ya watanzania, kwa yale yaliyobainishwa na Vijana hawa waliohama huko lakini pia haya yaliyoibuliwa katika mitandao na kuwafanya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hiko kuwekwa chini ya Ulinzi.

Umefika wakati sasa wa vijana kukihama na kujiepusha kabisa na shughuli zote zisizo na nia njema na Taifa zinazofanywa na Chadema na kutafuta Chama kingine ambacho kinasimamia Uadilifu, Ukweli, Haki na Nidhamu ya kweli kama CCM.
Karibuni CCM, Chama kinachotoa fursa sawa kwa wanachama wake na kuthamini wanachama kulingana na michango yao na huduma yao kwa Chama.
 
Ni mpumbavu tu anayeweza kujadili ujinga huu.
Ficha ujinga wako kwa kuwa kimya..,maana upayukaji wako unadhihirisha ulivyo na ubongo wenye ukosefu wa virutubisho vya kufikiri.
 
Katika mambo ambayo yameongeza mvuto wa shughuli za kisiasa hapa nchini, ni kile kinachoonekana kuwa Chama Cha Mapinduzi kushika hatamu katika kuonyesha dira ya uongozi wa shughuli za kisiasa hapa nchini. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Chama Cha Mapinduzi kufanya mabadailiko katika safu yake ya uongozi kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za kata na mashina.
Kimsingi ni kwamba hali ya siasa ndani ya chama cha Mapinduzi imeendelea kuwa shwari na ya Utulivu ambayo inawapa fursa viongozi wa chama hiko kufanya kazi kwa ushirikiano na umoja zaidi tofauti na kipindi cha nyuma ambapo makundi yalikaribia kukiangamiza chama hiko kikongwe hapa nchini......

Tanaleone na ndio maana umeitwa tandaleone, afadhari ungekuwa tandale two ningekuona mtu. Mpaka leo hii unaendelea kuwavuta vijana kurudi ccm, kweli aunasilime. Mimi ni kinaja, tena baba yangu alikuwa Diwani, kaacha mwenyewe. Kwa sababu uongozi wote wa wilaya na mkoa haushughurikii waslahi ya wanachi
 
Naona napata ugumu kuelewa ulichoandika hapa.
Ngoja nikapate ufafanuzi (maelezo zaidi) kutoka kwa hawa jamaa hapa chini ....
 
Attachments

  • NAZIR KARAMAGI.jpg
    NAZIR KARAMAGI.jpg
    2.6 KB · Views: 1,083
Ficha ujinga wako kwa kuwa kimya..,maana upayukaji wako unadhihirisha ulivyo na ubongo wenye ukosefu wa virutubisho vya kufikiri.

Wewe ni kiongozi wa CCM halafu una maneno ya kifedhuli hivyo.Huna hata aibu.Maneno yako yanaonyesha wazi ubongo wako una hitilafu.Endelea mama..!
 
Katika mambo ambayo yameongeza mvuto wa shughuli za kisiasa hapa nchini, ni kile kinachoonekana kuwa Chama Cha Mapinduzi kushika hatamu katika kuonyesha dira ya uongozi wa shughuli za kisiasa hapa nchini. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Chama Cha Mapinduzi kufanya mabadailiko katika safu yake ya uongozi kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za kata na mashina.
Kimsingi ni kwamba hali ya siasa ndani ya chama cha Mapinduzi imeendelea kuwa shwari na ya Utulivu ambayo inawapa fursa viongozi wa chama hiko kufanya kazi kwa ushirikiano na umoja zaidi tofauti na kipindi cha nyuma ambapo makundi yalikaribia kukiangamiza chama hiko kikongwe hapa nchini.
Mafanikio ambayo yanaonekana kupatikana ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, ambapo kumekuwepo na kasi inayoridhisha ya utekelezaji wa ahadi zake na pia usimamizi makini wa shughuli za serikali katika kuwaletea Maendeleo wananchi. Kuanzia Mawaziri, Mananibu, Wakuu wa Idara na vitengo Serikalini, wakuu wa mikoa na ma_DC pamoja na wakurugenzi wamegeuka kwa wachapa kazi hodari chini ya usimamizi wa viongozi wa CCM ambao hupita kufanya ziara na kutoa maagizo mbalimbali ya utekelezaji na utatuzi wa kero za wananchi katika maeneo hayo. Ma-DC wapya ambao wengi wametokana na UVCCM, wamekuwa mstari wa mbele katika kusimamia ILANI ya Chama katika ngazi za wilaya wakishirikiana na wa_NEC wa Wilaya pamoja na Wenyeviti wa Chama Wa wilaya wa UVCCM na CCM.
Kasi hii imeongezeka na kutia faraja zaidi kwa chama cha Mapinduzi kufuatia matukio ya Vijana wa Chadema kuuona na kuushuhudia ulaghai mkubwa wa Chama hiko, na hivyo kuamua kuamia CCM makundi kwa makundi, tumeshuhudia Matukio ya Kuhama kwa Mwenyekiti wa Chadema UK, Lukosi na Safu yake ya uongozi na kurudi CCM, tumeshuhudia SHONZA makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa akijiunga na CCM, akiongozana na MTELA na wengineo, tumekuwa tukipata taarifa kila kukicha ya vijana kuhamia CCM hata katika yale maeneo ambayo upinzani umeonekana kuwa ni ngome yao kama mikoa ya Kilimanjaro na Arusha pamoja na Manyara.
Matukio ambayo yamekuwa kivutio cha wengi na hasa baada ya Vijana hao kupata nafasi ya kuieleza hadhira juu ya sababu zao za msingi zilizowakimbiza Chadema ambapo walitaja kuwa ni Ubaguzi uliokithiri na Upendeleo, ambapo wengi wao walieleza kinagaubaga kuwa Chama hiko ni cha wanaharakati na wala si chama ambacho kinaviongozi makini na watawala wenye hekima.
"Chadema haina viongozi wala watawala bali ni kikundi cha wanaharakati ambao wanaendesha harakati zao kwa maslahi binafsi na ubaguzi mkubwa" aliwahi kusikika Mtela Mwampamba ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Mbeya.
Kwa wale ambao wanawafahamu watu kama LUKOSI, MWAMPAMBA, SHONZA, ABDUL ISSA n.k na harakati zao na mikakati yao ya kuieneza na kuiimarisha CHADEMA hapa nchini, wamepigwa na butwaa baada ya matukio haya ya watu hao kuihama chadema, lakini wengi wameshtushwa zaidi na taarifa hizo juu ya kinachoendelea Chadema, na wanajiuliza hatma ya Chama hiko ni ipi.?
Pamoja na sababu nyingine pia vijana hao walifikia Uamuzi huo wa kukihama chama hiko baada ya kupigania kusimamisha Demokrasia ya kweli ndani ya Chadema na kupinga ukiukwaji wa Katiba, Kanuni na Taratibu uliokuwa ukifanywa na "viongozi wakuu" wa Chadema.
WanaCCM wote pamoja na Mimi tunawapongeza vijana hawa kwa uamuzi wao ambao wenyewe wameutambua kuwa ni "uamuzi sahihi" na kila mmoja katika sisi tumekiri kuwa uamuzi uliofanywa na vijana hawa ni uamuzi sahihi tena ulio thabiti ambao kila kijana ambae anafikiri sawasawa anatakiwa kuuchukua.
Pamoja na pongezi hizo, tuchukue fursa hii kuwataka vijana ambao wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA kuona hatari inayoendelea Chadema na hasa baada ya kudhihirika sura yao kamili kwenye macho ya watanzania, kwa yale yaliyobainishwa na Vijana hawa waliohama huko lakini pia haya yaliyoibuliwa katika mitandao na kuwafanya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hiko kuwekwa chini ya Ulinzi.
Umefika wakati sasa wa vijana kukihama na kujiepusha kabisa na shughuli zote zisizo na nia njema na Taifa zinazofanywa na Chadema na kutafuta Chama kingine ambacho kinasimamia Uadilifu, Ukweli, Haki na Nidhamu ya kweli kama CCM.
Karibuni CCM, Chama kinachotoa fursa sawa kwa wanachama wake na kuthamini wanachama kulingana na michango yao na huduma yao kwa Chama.

Kwa mada yako naona bado haujakubaliana na sera ya vyama vingi.Pole.
 
Tanaleone na ndio maana umeitwa tandaleone, afadhari ungekuwa tandale two ningekuona mtu. Mpaka leo hii unaendelea kuwavuta vijana kurudi ccm, kweli aunasilime. Mimi ni kinaja, tena baba yangu alikuwa Diwani, kaacha mwenyewe. Kwa sababu uongozi wote wa wilaya na mkoa haushughurikii waslahi ya wanachi
Taja jina la baba yako na wilaya anayopatikana.,acha uongo hapa. Labda ameacha kwa kashfa binafsi ama kwa udhaifu wake binafsi na si kwa sababu ya kukwamishwa na Chama ama Serikali.
 
.
.
Umefika wakati sasa wa vijana kukihama na kujiepusha kabisa na shughuli zote zisizo na nia njema na Taifa zinazofanywa na Chadema na kutafuta Chama kingine ambacho kinasimamia Uadilifu, Ukweli, Haki na Nidhamu ya kweli kama CCM.
Karibuni CCM, Chama kinachotoa fursa sawa kwa wanachama wake na kuthamini wanachama kulingana na michango yao na huduma yao kwa Chama.

Hapo kwenye blue,
Huyu jamaa hapa kwenye picha hakubaliani na wewe kabisa....
Hubu muangalie vizuri huyu, unamkumbuka vizuri huyu ???
Ngoja nitafute 'mawasiliano' yake ili nimuulize vizuri huyu.... Maana ni mbishi sana huyu jamaa.....
attachment.php
 
Attachments

  • DOWANS.JPG
    DOWANS.JPG
    63.7 KB · Views: 1,121
Ficha ujinga wako kwa kuwa kimya..,maana upayukaji wako unadhihirisha ulivyo na ubongo wenye ukosefu wa virutubisho vya kufikiri.

Kweli JF siku hizi inapokea mpaka mataputapu kama haya! Kweli tunaelekea siko! Hivi kuna kijana mwenye akili timamu ambaye bila ushawishi wowote wa pesa anayeweza kutoka Chadema akaamia huko Upumbavuni! Kweli mmewadharau vijana wa Tanzania.
 
Ficha ujinga wako kwa kuwa kimya..,maana upayukaji wako unadhihirisha ulivyo na ubongo wenye ukosefu wa virutubisho vya kufikiri.

Tumia busara ndogo tu ila usitukane sababu aliyetuma hoja yake hajakutukana.Rudisha hoja kwa nini siyo mpumbavu tu atakayejadili hoja yako,bali wote wanauwezo wa kuijadili.Kwa kutukana umejiwekea doa.
 
Mwanasiasa yoyote tajiri ndani ya chama tawala ni MWIZI. (kibaka), maaskofu kataeni hela zake chafu.

Sisi mimi ni maneno ya kada wa chama cha Mapinduzi na mgombea kiti cha urais 2015.

Samwel Sitta.
 
Taja jina la baba yako na wilaya anayopatikana.,acha uongo hapa. Labda ameacha kwa kashfa binafsi ama kwa udhaifu wake binafsi na si kwa sababu ya kukwamishwa na Chama ama Serikali.

Hata wenye kashfa bado wako CCM.Siyo lazima uache nafasi ya uongozi sababu ya kashfa waweza acha kama chama unachokitumikia hakifanyi kama dira yenu inavyoelekeza.
 
ukija na maelezo ya kinaga ubaga kuhusu EPA, kagoda richmond meremeta ighondu ( urimboka) mwangosi, na mengine mengi na fedha za uswiss. kwambali ndiyo nitapungza hasira zangu kwa CCM. lakini aslani sitakuwa mwana chama wa ccm. kwangu ni dhambi namba moja ambayo ninauhakika itanipeleka motoni
 
Huu kweli upumbavu uliovuka mipaka. Hakuna haja ya kupoteza muda kujadili ----- huu. Watu wenye umri wa sasa (vijana) wako zaidi kwa maendeleo kuliko huyu mchumia tumbo. Mwandishi wa thread hii nadhani anaridhika na pilao, sare na vitu vidogo vidogo. Tumuogope kama ukoma.
 
“Chadema haina viongozi wala watawala bali ni kikundi cha wanaharakati ambao wanaendesha harakati zao kwa maslahi binafsi na ubaguzi mkubwa” aliwahi kusikika Mtela Mwampamba ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Mbeya.
.

Dogo angalia sana hapo ulipoweka red,
Hapo unaponukuu hiyo kauli,ni kama vile unamfundisha kazi huyu jamaa hapa chini kwenye picha.
Yaani ni kama vile unamuuliza ni kwa nini hajakuifuta Chadema siku zote hizo !!
Angalia sana jamaa huwa ana hasira sana huyo !!! Ohoooo !!!!

01_10_nt0rqj1.jpg
 
Ficha ujinga wako kwa kuwa kimya..,maana upayukaji wako unadhihirisha ulivyo na ubongo wenye ukosefu wa virutubisho vya kufikiri.

Hivi ndivyo unavyotaka vijana wa CHADEMA wajiunge na ccm? Ama kweli utawapata wengi!
 
Du mwenyewe umekaa na kuona ----- huu utakiwasha CHADEM?WEWE NAKUTAKA UWAAMBIE WANACCM WENZEKO KUWA CHADEMA NI CHAMA TISHIO KULIKO CCM,NCCR,CUF,TLP'UDP,TPDP,PONA,ADC,UMMA NK.FROM THE DIGINTY OF MY HEART,CHADEMA NI TISHIO KWA CCM NA NDIYO HIVI SASA MNAKURUPUKA TU ILI MRADI TU MLETE PROPAGANDA DHIDI YA CHADEMA,KWA NINI HAMUONGELEI VYAMA VINGINE HIVYO?EVERY CORNER CHADEMA.
 
habari kama hii ipeleke gazeti la udaku la uhuru pale lumumba ukapate posho yako ya wiki
 
Back
Top Bottom