Karibuni wanaJAMVI tuombe/tusali kabla ya kulala. Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema mengi aliyotutunuku siku nzima. Usiache kuomba/kusali kabla ya kulala na unapoamka.
NAWATAKIA USIKU MWEMA NA NJOZI NJEMA!