Kila mtu na starahe yake ila hapa wapiga.ugimbi bia komoni wanzuki.dadii na piywaa.mbege ulanzi.ndg zetu wa kusini sijawahau na pombe yenu ya mabibo(ulaka).wazigua wadigo wabondei yenu (kangala) wasamaa (mnazi).sasa kuna kitu kinaitwa 4g+h double kikck..sema ulianza lini na pombe ipi.ulizimika ktk sherehe au promitions.leta maneno napokea mapovu tu