Karibuni

Ulisema unafanya mazoezi ya kupunguza tumbo eeh?

Kwahiyo ukimaliza hapo ndiyo unakunywa chai ya ile majani?

Mlo bomba
 
Ulisema unafanya mazoezi ya kupunguza tumbo eeh?

Kwahiyo ukimaliza hapo ndiyo unakunywa chai ya ile majani?

Mlo bomba
Zoezi la kupunguza tumbo ni katika ukaaji hapo, maana sahani iko juu ya sakafu, itabidi aiinamie, hapo tumbo atalibana.
 
Una balance diet au ndio bajet kwenda sambamba na anko magu??
 
Ulisema unafanya mazoezi ya kupunguza tumbo eeh?

Kwahiyo ukimaliza hapo ndiyo unakunywa chai ya ile majani?

Mlo bomba
Eti na unaona watu hapo wanabisha kua sio chakua hicho na hawashibi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…