Asante mkuu kwa kutuongezea nafasi nyingine ya kupata kazi ila ushauri wangu ni kwamba kwa haraka haraka tu nimekwenda ajira.org na kukuta nafasi za kazi milizo post ni za zamani mno.Mfano ziko za tangu December,2012.Ushauri wangu naomba mjitahidi ku update nafasi zenu za kazi mnazozitangaza,otherwise tunakushukuru kwa kuwa na wigo mpana wa mambo mengi katika web yenu kama ulivyoeleza hapo juu,thanks.