Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
kuna ubwabwa?
....Jiandae na Pilipili na ndizi mbivu inaelekea mwaka unaisha hujakamata cheche!!!kuna ubwabwa?
UMBWABWA UKO WA KUTOSHA,karibu sana.
....Jiandae na Pilipili na ndizi mbivu inaelekea mwaka unaisha hujakamata cheche!!!
Je makande yatakuwepo...?Na kama ni MWANGA sehemu gani?Kisangara au wapi hapo..Tuje ..UMBWABWA UKO WA KUTOSHA,karibu sana.
u a most welcomemantakhofu alhabiby, sherehe ni watu, na watu ni mimi na sajenti. On my way to kaskazini!
ndio yatakuwepo kiasi kwani ndo msosi wa asili yetuje makande yatakuwepo...?na kama ni mwanga sehemu gani?kisangara au wapi hapo..tuje ..
ndio yatakuwepo kiasi kwani ndo msosi wa asili yetu, kn wengine beche halipandi kabisa. ni mbele kidogo ya Kisangara PANAITWA LEMBENI pale reli inapopita juu ya barabaraje makande yatakuwepo...?na kama ni mwanga sehemu gani?kisangara au wapi hapo..tuje ..
siwaogopisi unajua unatafutwa na usalama wa taifa?na wao watakuja
MAHALI PANAPOSTAHILI KULAZWA MZEE WETU NI PEPONI. aTupo pamoja ndg. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali panapostahili.