G guest-1790917349 Guest Sep 28, 2014 #61 Sixv2 said: Da! Sipendezi wangu mbona kuna nafuta nasikia watu wanatumia na zinzota? Click to expand... Hebu nenda jf doctors Jukwaa hilo km kuna thread ya hivyo km sikosei Utapata jibu
Sixv2 said: Da! Sipendezi wangu mbona kuna nafuta nasikia watu wanatumia na zinzota? Click to expand... Hebu nenda jf doctors Jukwaa hilo km kuna thread ya hivyo km sikosei Utapata jibu
G guest-1790917349 Guest Sep 28, 2014 #62 miss strong said: Njoo hapa play time mwenge kwenye maghorofa ya jeshi.Halafu tutajua wapi pakuamia. Click to expand... Teh teh teh teh Duh maeneo yangu hayo na callabash Kitambo sn
miss strong said: Njoo hapa play time mwenge kwenye maghorofa ya jeshi.Halafu tutajua wapi pakuamia. Click to expand... Teh teh teh teh Duh maeneo yangu hayo na callabash Kitambo sn
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Sep 28, 2014 #63 Bado tunaruhusiwa kuja????
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Sep 28, 2014 Thread starter #64 Heaven on Earth said: Bado tunaruhusiwa kuja???? Click to expand... Njoo fasta kwa mama Kamche....unakulaga Noah??Njoo vinywaji vimetapakaa
Heaven on Earth said: Bado tunaruhusiwa kuja???? Click to expand... Njoo fasta kwa mama Kamche....unakulaga Noah??Njoo vinywaji vimetapakaa
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Sep 28, 2014 Thread starter #65 christine ibrahim said: Teh teh teh teh Duh maeneo yangu hayo na callabash Kitambo sn Click to expand... Njoo tukumbushie enzi best....kinywaji kinapanda??
christine ibrahim said: Teh teh teh teh Duh maeneo yangu hayo na callabash Kitambo sn Click to expand... Njoo tukumbushie enzi best....kinywaji kinapanda??
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Sep 28, 2014 Thread starter #66 MankaM said: vip kuhusu bili ndugu ama tutajilipia?? Click to expand... Ujilipie???nini maana ya mualiko??njoo unywe acha mawazo pesa ipo.
MankaM said: vip kuhusu bili ndugu ama tutajilipia?? Click to expand... Ujilipie???nini maana ya mualiko??njoo unywe acha mawazo pesa ipo.
G guest-1790917349 Guest Sep 28, 2014 #67 miss strong said: Njoo tukumbushie enzi best....kinywaji kinapanda?? Click to expand... Hahahaa haaaa Nop Nilishatupa kule best!!!
miss strong said: Njoo tukumbushie enzi best....kinywaji kinapanda?? Click to expand... Hahahaa haaaa Nop Nilishatupa kule best!!!
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 Sep 29, 2014 #68 miss strong said: Ujilipie???nini maana ya mualiko??njoo unywe acha mawazo pesa ipo. Click to expand... nyie ndio watu mnaotakiwa i can imagine vile napata mialiko kama hio kila weekend looo!!!!
miss strong said: Ujilipie???nini maana ya mualiko??njoo unywe acha mawazo pesa ipo. Click to expand... nyie ndio watu mnaotakiwa i can imagine vile napata mialiko kama hio kila weekend looo!!!!
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,742 Sep 29, 2014 #69 miss strong said: Acha woga....usafiri upo na kwa usalama zaidi nitakupeleka police yoyote iliyo karibu yetu upumzike mpaka pale utakapopata akili Click to expand... hahahaha hapo nakuja sasa
miss strong said: Acha woga....usafiri upo na kwa usalama zaidi nitakupeleka police yoyote iliyo karibu yetu upumzike mpaka pale utakapopata akili Click to expand... hahahaha hapo nakuja sasa