Karibuni WanaJamiiforums

Mimi natumia pingu itakuwepo!!?
 
Aiseee....!!!!
Nipe gongo lita moja bariiidi ninywe siku nzima
 
Jaman wana jf nisaidieni natafuta nafuta ya kufanya nywele zangu zisiishe naona km naota upara anayejua dawa au mafuta yoyote naomba anisaidie hata jina lake tu nikayatafute.
 
Jaman wana jf nisaidieni natafuta nafuta ya kufanya nywele zangu zisiishe naona km naota upara anayejua dawa au mafuta yoyote naomba anisaidie hata jina lake tu nikayatafute.

una miaka mingapi ?
 
Mbona hivyo bhana umri bado bwana wa kuota kipara. 26.
 
Da! Sipendezi wangu mbona kuna nafuta nasikia watu wanatumia na zinzota?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…