miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Karibuni kinywaji wana Jf wkend ndo hii....baada ya pilikapilika za week basi ni muda wakujipongeza.
Wale waliosema mwanamke akinywa pombe hana mvuto...karibia hapa upate kinywaji.Mie sipendi uchoyo.
!
!
uko wapi kwani nije?
njooni tugonge vyombo kwa mama said huku tandika mabatini nyuma ya skonga ya msingi...
Usalama wa raia na mali zake muhimu jamani....teh
Mie niachie kwenye debe nifanye vitu vyangu.
Mbona hupokei simu??