Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,210
- 6,774
- Thread starter
-
- #61
Pamoja sana mkuu..
Wewe ni boss usie na majibuno..unawatia watu hasira nao wakasake watumie as you Do
Mkuu Prof. Assad ana IST unamwonaje?? Na alikuwa CAG. Toa neno.
Kiduku lilo naomba unisave milioni 2..nimekwama ndugu yako..
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Mkuu unataka kuwa house girl?
Napenda mtu ambaye angalau ana diploma ya Hotel Management. Kama una degree ni vizuri zaidi. Unalipwa salary na unalipiwa bima ya afya pia.
Stahiki zako zote unapata ikiwepo likizo kila mwaka na pesa ya likizo.
Kiduku lilo naomba unisave milioni 2..nimekwama ndugu yako..
Hahahaaaaa usipotoshe mkuu huyo mjamzito hajaachishwa kazi, Kiduku Lilo atakua amempa maternity leave.Msisahau anayachishwa kazi ana ujauzito pia
Hahahaaaaa usipotoshe mkuu huyo mjamzito hajaachishwa kazi, Kiduku Lilo atakua amempa maternity leave.
Hahahaaaa kama haukai karibu na ostabei utakua tayari umesha diskwalifai.Kidukulilo lazima uwe umesoma hotel management? Mie hapa niwe beki 3 wako!madolari kama yote
Hahahaaaa kama haukai karibu na ostabei utakua tayari umesha diskwalifai.
Sisi tupo watatu tumepanga chumba na sebule kwenye banda la uani tandale kwa tumbo.Hhaaa ntajua ntafanyaje..mradi nipate hili zari!kwan kwenu mko wangap mkuu?
Anaweza kukwambia hiyo club ni yake na boti anazoTajiri Kiduku Lilo umeweza kumiliki magari ya kifahari sasa inabidi ununue Boti ya kifahari na uwe member wa Dar Yatch Club.
Sisi tupo watatu tumepanga chumba na sebule kwenye banda la uani tandale kwa tumbo.
Ila usijali naweza nikaongea na Kiduku Lilo akakupa hio ajira ila utapaswa uishi kwenye sevant kota yake hapo ostabei.
Vipi leseni unayo maana utakua unaenda kununua mahitaji ya sokoni na ile ford ranger.
Usijali mkuu kurinyuu sio kaziHhahaaa leseni nnayo..ila imeexpire!sio mbaya atanisaidia kirenew
Huyo member sijui ana hali gani huko aliko [emoji28][emoji28]"Member mmoja wa JF alifanikiwa kufika kwangu two weeks ago, maskini alitokwa na machozi ya furaha. Friji yangu anasema ni kama chumba kidogo"
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!!!!aiseee.....
Usijali mkuu kurinyuu sio kazi
Ila ingekua vzr tukajua kama una uzoefu wowote wa kuendesha gari au hua unaendeshaga tu vyombo vya usafiri?
Kiduku Lilo anaposema gari hua anamaanisha Yuropian kaa(Renji rova, fodi renja, vokswagen amarok, Gmc n.k) na chombo cha usafiri ni japaniz kaa hizi toyota, nissan n.k
Hahahhaha, sisi wengine hua tunalipia cha bomba tuu"Sisi wengine tunalipia DStv Premium inaisha bila kuangaliwa"
Daaaah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]