Karibuni wadau tupeane kampani. Msijitenge sana

Kidukulilo lazima uwe umesoma hotel management? Mie hapa niwe beki 3 wako!madolari kama yote
 
Napenda mtu ambaye angalau ana diploma ya Hotel Management. Kama una degree ni vizuri zaidi. Unalipwa salary na unalipiwa bima ya afya pia.
Stahiki zako zote unapata ikiwepo likizo kila mwaka na pesa ya likizo.
Kidukulilo lazima uwe umesoma hotel management? Mie hapa niwe beki 3 wako!madolari kama yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…