PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,135
Profesa..hayo mayai ni ya kienyeji au... na vipi kuhus hayo maziwa ni ya ngombe wa kienyeji au....au ni ya unga??
Ndio msimu wake huu mkuu huku kijijini tunayafaidi sana.Nimemiss mahindi hayo... fresh kutoka shamba
Vyote vya kienyeji hivyo mkuu.Profesa..hayo mayai ni ya kienyeji au... na vipi kuhus hayo maziwa ni ya ngombe wa kienyeji au....au ni ya unga??
Hapo tunaenda sawa sawa...sio kisasa... Eti maziwa ya unga??? Khaaa kichwa huwa kinauma nkisikia maziwa ni ya unga:Vyote vya kienyeji hivyo mkuu.
Nakuskilizia mkuu utuchafulie hali ya hewa..