Karibuni tule chakula.

Karibuni tule chakula.

Maswi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
932
Reaction score
211
. UGALI.jpg

vyakula vya namna hii hupatikana kwa wingi kanda ya ziwa hususani mkoani Mara wilaya ya Tarime
 
Kitu ugali wenye afya hapo hupati Kisukari,Presha,Macho kutoona,Masikio lazima yasikie vema,
Vijana-Wazee unakuwa na nguvu moja si chipsi za mafuta ya transfoma.
Kwenye 6x6 lzm inakuwa hatari sana maana nguvu sawa.
 
Asante mkuu, ila mbona umenichanganya kidoga huo ni ugali wa chokoleti au wa nini??????????
 
Kitu ugali wenye afya hapo hupati Kisukari,Presha,Macho kutoona,Masikio lazima yasikie vema,
Vijana-Wazee unakuwa na nguvu moja si chipsi za mafuta ya transfoma.
Kwenye 6x6 lzm inakuwa hatari sana maana nguvu sawa.

Hapo ndo tunapokuwa kuwa fiti sana hata JESHI wanakuwa makini mno.
 
duh sijawahi kula ugali wa mtama mboga yake kuu ni nini? samaki au matembele?
 
ooh nimekusoma mkuu ila unaonekana mtamu houooooo!!!!!asante tena maji ya kunawa yako wapi???????

Unga wa mtama na ulezi kwa mkoa wa Mara huchanganywa na unga wa udaga (muhogo). Japo wengine prefers kuchanganya na unga wa mahindi. Kula ugali wa mtama tu au ulezi tu, kazi ni kwako time ukiwa chooni.
 
Haaaaaaaaaahaaaaaahaaaaa lazima ulie kwa sauti!!!!!!!!!!kama ukila mapera mengi pamoja na zile mbegu zake mbona utaimba kilugha hata kama hukijui!!!!!!!!!
Unga wa mtama na ulezi kwa mkoa wa Mara huchanganywa na unga wa udaga (muhogo). Japo wengine prefers kuchanganya na unga wa mahindi. Kula ugali wa mtama tu au ulezi tu, kazi ni kwako time ukiwa chooni.
 
Dah mkuu nasikia ukila huo msosilazima uende na grisi kwa choo ili klainisha njia ya kuvitolea
 
Tena kule unakamata ugali wa mtama unashushia na Kichuri mambo saafi kabisa wapi Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Unga wa mtama na ulezi kwa mkoa wa Mara huchanganywa na unga wa udaga (muhogo). Japo wengine prefers kuchanganya na unga wa mahindi. Kula ugali wa mtama tu au ulezi tu, kazi ni kwako time ukiwa chooni.

Hee...! Kumbe adhabu yake ukienda msalani? Sasa vijijini watu hawanywi maji kwa wingi si inakuwa balaa hayo mamizigo!
 
Back
Top Bottom