sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Hiyo picha kama ni yako, basi unafanana sana na mmama flani alikua mkuu wa chuo cha FDC. Anaitwa mama Kanoni.Nna ndugu wengi Sikonge japo siku nyingi sijaenda. Shangazi na baba wadogo wameambaa maeneo mbali mbali ya Tabora.
Mmmh,mkuu [emoji8] nimekupenda automaticallyHehehehehehehee na siku ukifanikiwa kuniona nacheza hutochoka kunitazama na hutotaka kuacha kuniangalia mara kwa mara nikiwa nacheza....... maana huwa nacheza kuanzia ndani kisha movement zinazotokea nje nini auto hata mie mwenyewe huwa najishangaa.
Kasie wacha nseme tu kwa sauti mana moyo wangu unaweza kupata ahueni kutokana na haya mapendo niliyonayo kwako. What is joy to love you jamaniHahahahahahahaaa looh Antonio, sema polepole usisikiwe. ...... ni hatariii.
ni kweli ulichosema, ila naona mkuu wa mkoa anahimiza wapande mikorosho kama mbadalaAsali yenu siku hizi ina nicotine. Kwa sababu mmekata miti, nyuki wanachukua maua ya tumbaku kutengeneza asali.
OkKama huamini basi, igholoo.
Nawajuaa ila nahisi mzee wako alicheza foul, nimechukua kapicha kako ntamtumia akaone yaani copyright [emoji15]Aahahahahahahahaaaa looh
Nimefurahi, wazee wa kinyamwezi si unawajua lakini.......
Huyo wa kwenye avatar ni mimi.
Naanza hiyo dose asap alaf tufanye test kama nitakuweza ....Daah!! kasie weyeeSanaaa wee ifanyie utafiti utaona..... yaani aidha uzao wako uwe unawapa lishe ya asali na karanga mara kwa mara au wewe mwenyewe ili ukija kupata uzao wako..... aaah utahimili mizigo ya kila aina.
Hiyo ni a.k.a ya TaboraNdo nanii?
Ooooh. Nafurahi kusikia hivyo jamini mie mtoto wa Conte.. Yani hapa hadi nguvu zimeniisha mwili umenyong'onyea for your nice words, sweetest and tender from the warm voice rendering whispering in my ears.....jamani mahabati yamenishika mie kwa Kasie au @Kasindye Leo nitaita na mizimu yetu migabo...na masweziHahahahahahhaa uwe na amani na utulie Antonio huko uliko, Kasie amefurahi kupokea pendo lako, si wajua vile naitwaga. .......
Kasie Mahabat Mahaba.
Basi shaka ondoa.