Karibuni Tabora asali inakotokea

Karibuni Tabora asali inakotokea

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Ulimholaaa ......

Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu.

2017-12-19-17-25-11--1141671317.jpeg

Karibuni karanga...

honey-5.jpg

Jisevie mwenyewe karanga na asali kwa raha zetu wanyamwezi na standard gauge ndo hiyoo inakuja hata kama ni baada ya miaka 10 ijayo....




Najivunia kuwa mnyamwezi aliyechovyea Tanga. Mashika mashika mashilongo hoyeeeee.

Koolooompaaaa.

NB: leo tangu asubuhi kuna kisa cha kweli natamani kukisimulia ila roho inasita. Basi wacha nimtakie mhusika wa hicho kisa heri ya siku ya kuzaliwa, leo tarehe 19.12.2017.... iko siku nikipata kibali ntaeleza hapa yote moyo wangu uwe huru, maana ulinitafuta mwenyewe mwaka huu.

Kasie Mahabat Matata Motoo.
 
Mahaba yananivunja mgongo oooohhhh!

Kasie unaniumiza mwenzio oooooh!!!

Ukinikataa nakusemea kwa Maxence Melo oooooh!

Lini utanipa japo kidogo oooooh!

dah kasie mpaka nakutungia wimbo!!!!
 
Mahaba yananivunja mgongo oooohhhh!

Kasie unaniumiza mwenzio oooooh!!!

Ukinikataa nakusemea kwa Maxence Melo oooooh!

Lini utanipa japo kidogo oooooh!

dah kasie mpaka nakutungia wimbo!!!!

Hahahahahhahahaaa asante kunitungia wimbo, bahati iliyoje. ....

Usijali iko siku tuu.......
 
Asali yenu siku hizi ina nicotine. Kwa sababu mmekata miti, nyuki wanachukua maua ya tumbaku kutengeneza asali.

Nami nimesikia hivo na wanasema imekosa soko na imeshuka bei huko ilikokuwa inapelekwa kuuzwa.

Ila fatiki ya kupanda miti imeanza ili kurudisha utamu wa asali asilia, zile za nyuki wa kutengeneza si tamu sanaa.
 
Inaelekea dose ya karanga na asali si mchezo , ndyo maana watu wa huko wanakuwa na miili mikubwa mikubwa

Sanaaa wee ifanyie utafiti utaona..... yaani aidha uzao wako uwe unawapa lishe ya asali na karanga mara kwa mara au wewe mwenyewe ili ukija kupata uzao wako..... aaah utahimili mizigo ya kila aina.
 
Tabora sehem gani?!

Kijijini kwetu ilolanguru

Hahahahahaa kumbe wewe ni mnyamwezi mwenzangu hehehehehehee mwangalukah! Ulimholaaa. ....

Kwetu ni karibu na Itigi unatembea kwa miguu tuu.

Wamilemoo Nokia.
 
Mmmhhh sijakuelewa ndugu, umesema unafanya kazi ya welding tukupe tenda au......?!!
Afu madam miaka yote najuaga wewe mkenya ko hata article zako nazisomaga kwa tonic ya kiswahili ya Kenya kumbe we ndo mnyamwezi mwenyewe
 
Back
Top Bottom