mfumo wa application wa chuo hiki online hauko vizuri kabisa. nilitamani niapply chuo hiki lakini mpaka deadline inafika mfumo wao haukuwahi kufunguka.
Acha kuwadanganya Watanzania wewe. Chuo hiko kanjanja kimepigwa kufuli na TCU kisidahili wanafunzi mwaka wa masomo 2017/2018 katika kampasi zake za Msalato na Marks. Sasa unataka wanafunzi waende huko kulima maboga na kupika chimpungu?
Mue mnaingia mtandaoni kuangalia msiwe mnasema ovyo ni course baadhi wamezuiliwa kudahil sio zote mbona hata UDOM kuna baadhi ya koz hawadahili mwaka huu wamefungiwa na TCU