sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
Nadhani wamefungia baadhi ya center zake ila sio Main Campus. Naifahmu kiasiSii kimefungwa au!????
Acha kuwadanganya Watanzania wewe. Chuo hiko kanjanja kimepigwa kufuli na TCU kisidahili wanafunzi mwaka wa masomo 2017/2018 katika kampasi zake za Msalato na Marks. Sasa unataka wanafunzi waende huko kulima maboga na kupika chimpungu?Hello group kwa wale form six wanaopenda kusoma kozi hasa za afya karibu chuo kikuu cha st john university
Bachelor of pharmacy
Bachelor of science in nursing nafazi ni chacheee
Niulize chochotee nitakujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Campus ya st john mazengo main campus iko waziii haijafungiwa mkuu fatilia mambo acha kukurupukaAcha kuwadanganya Watanzania wewe. Chuo hiko kanjanja kimepigwa kufuli na TCU kisidahili wanafunzi mwaka wa masomo 2017/2018 katika kampasi zake za Msalato na Marks. Sasa unataka wanafunzi waende huko kulima maboga na kupika chimpungu?
Campus ya dar na Dodoma msalato ndio imefungiwa main campus mazengo ikooo poaaa tunawapokea wanafunzi WA pharmacy nursing education isipokuwa masomo ya biashara tuSii kimefungwa au!????
Biashara kwanini hawapokelewi?Campus ya dar na Dodoma msalato ndio imefungiwa main campus mazengo ikooo poaaa tunawapokea wanafunzi WA pharmacy nursing education isipokuwa masomo ya biashara tu
Sent using Jamii Forums mobile app
TCU WANADAI HAKUNA WALIMU WA KUTOSHA JAPO NI UKAGUZI WA SIKU NYINGI SASA HV KUNA WALIMU WA KUTOSHA HVO WIKI HII KUNA KIKAO NA TCU NA CHUO HUENDA WAKARUHUSU UDAHILIBiashara kwanini hawapokelewi?
Haina maana yoyote hiyo. What is main campus wakati matawi yote ni ukanjanja mtupu? Mwongozo wanapata wapi? Like Father like Son. Usipoteze muda kusoma chuo cha makanjanja wakati kuna credible universities hapa nchini.Campus ya st john mazengo main campus iko waziii haijafungiwa mkuu fatilia mambo acha kukurupuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawaa MAIN CAMPUS MAZENGO IPO VIZURI UDAHILI UNAENDELEA KARIBUNI EDUCATION PHARMACY NA NURSING DEGREE DIPLOMA NKNadhani wamefungia baadhi ya center zake ila sio Main Campus. Naifahmu kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapaaa sidhani kama ipoo naona wamebana TCUMkuu vepe??? Kuhusu business adminstration in human resources....
Samsung J7
Ni udahili wa senene au watu wenye akili? Yaani nipoteze muda na fedha zangu kwenda chuo chenye mashaka wakati vyuo vya uhakika vipo!!!TCU WANADAI HAKUNA WALIMU WA KUTOSHA JAPO NI UKAGUZI WA SIKU NYINGI SASA HV KUNA WALIMU WA KUTOSHA HVO WIKI HII KUNA KIKAO NA TCU NA CHUO HUENDA WAKARUHUSU UDAHILI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua kwanini wamefungiwa usingejaribu kuropoka ovyooHaina maana yoyote hiyo. What is main campus wakati matawi yote ni ukanjanja mtupu? Mwongozo wanapata wapi? Like Father like Son. Usipoteze muda kusoma chuo cha makanjanja wakati kuna credible universities hapa nchini.
Hiyo ipo open tu nadhaniMkuu vepe??? Kuhusu business adminstration in human resources....
Samsung J7
ENDELEA KUONGEA PUMBA UTAKOSA CHUO UTAKOMANi udahili wa senene au watu wenye akili? Yaani nipoteze muda na fedha zangu kwenda chuo chenye mashaka wakati vyuo vya uhakika vipo!!!
Kwa taarifa zilizoppo mpaka SASA imefungiwa japoo chuo wametuambia kesho sana kikao na TCU HVO WATATOA MAJIBU YA MWISHONataka kusoma business adminstration main campus haijafungiwa????? Na evening class IPO?????
Samsung J7