Karibuni Songea

Umemsahau SHEKILAND tajir wa enz hizo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini
Hakika na mm nimekumbuka,mkako,kigonsera,liganga,litui,lipumba,mbinga,mbambabei,litembo etc
Niliishi hapo 2013
 
Nimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini
Yaani msabato atafanya vyovyote vile Ili ajitambulishe kuwa ni msabato🤣🤣(sasa kanisa kubwa ukilinganisha na lipi?)
 

Ukipata muda fika Ruhuwiko wape hai akina Kasike na John Matogoro wambie uzee unatutenganisha ila Insh’Allah Chabruma camp ibaki kuwa meeting point
 
Ni
Pas p bado anarekodi hapo PS records, nilitembelea hapo nikakuta nyimbo zake zinabamba nikamchukue nikampleka DSM studio nzuri akafanya single na bibi Yule aliyekuwa tmk nimemsahau jina somebody bb Cheka single haijafanyiwa mixing dogo kashairusha you tube, radio za kusini zimeanza kuipiga dogo kaenda mpakani huko sifuri d anafanya, niliwachukua watatu mmoja makambako anaitwa b2k mwingine Kaiser niliwapeleka studio nzuri AM records, Man selekta, na kwa good luck gozbett but unlikely akili zao zilikua bado hazijafunguka kuiona bright future niliyokuwa najaribu kuwatengenezea.
 
Nina rafiki yangu mmoja wa kike nili kutana nae Twitter anaitwa Dorothy ana ishi SONGEA sehemu inaitwa MPITIMBI.

Aliwahi kuniambia SONGEA ni wakulima hodari wana lima sana mahindi kama una mtaji una weza kuwekeza kwenye kilimo SONGEA, hatimaye kupata matokeo chanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…