Karibuni Songea

Karibuni Songea

Cymon Taylor

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
1,754
Reaction score
3,427
Untitled.jpg

Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)

Hapo kwenye nyama pori nakuja,pombe situnii,totoz vip huko,kuna demu nilisoma nae anaitwa Veronika Komba advance 2005 sijui nampate nimsalimie japo najua atakua ana maisha yake
 
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)

Karibuni Songea
Pls sogea huku namtumbo, kijiji cha lingusenguse nikupatie ulanzi, on the way salimia hapo box 2,Lumecha, Namabengo, Litola, Kumbara, Lwegu, Nyalamatata then ...lingusenguse
 
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)

Karibuni Songea
Usisahau mbuzi katoriki mkuu, wamejaa hapo kila kona
 
Nimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini
Karibu tena Kunyumba mkuu
 
Back
Top Bottom