Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
Karibuni sana wana ukawa bila kukawia tuangalie sana TV pendwa ya taifa letu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, japo mnajifanya hamuipendi lakini mkiwa majumbani mwenu mnaingalia na kufuatilia mchakato mzima wa bunge la katiba hasa katika kipindi hiki cha kuhesabu kura, najua mawasiliano yakikata nyie ndiyo wa kwanza kufungua thread hapa ya kulalamika, najua mnaipenda sana TBC1 japo mdomoni mnaiponda, karibuni sana tuangalie TV yetu pendwa ya Taifa msione aibu.