Karibuni nyumbani!

Karibuni nyumbani!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,355
dangerous-rope-bridge-1.jpg

Kageto kangu kako huko mwisho wa daraja!
Huko amani kwenda mbele mana hata defender haifiki!
Najilia mzuka hadi napasuka huko! Karucee hasara yako!

Karibuni kihomeboy tule bata jameni!
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka kuna daraja moja kule kwetu lilikuwa la mbao ka hivo halafu chini kuna reli nilikuwa naogopa kulivuka acha halafu ukute upande wa ubao umengofoka lazima uone kizunguzungu ukikatishaaa
 
Mkuu aaaa hapo siji hata kwa mzinga maana hapo naona kama kule kunako uwana watu kila kukicha kunakoitwa taaleban maana huko kuna kila aina ya maharamia akina boko haram na al kaeeda na ali shababu ni bora nibaki huku huku na dona langu na mrenda na kipande cha papaa wa kuchoma
 
Nakumbuka kuna daraja moja kule kwetu lilikuwa la mbao ka hivo halafu chini kuna reli nilikuwa naogopa kulivuka acha halafu ukute upande wa ubao umengofoka lazima uone kizunguzungu ukikatishaaa

Hahahahaaa! Usjali mimi49 hilo daraja la kuelekea geto kwangu mbao zake ni imara sana!
Wewe ukidondoka kitiizii nidipu nikupe michoro uje kunitembelea!
 
Kama nitapewa mbawa basi nitapita

Hahahahahaaa! Unaogopa tu, kuna siku tulimkuta mwizi geto, ile kutuona akaanza kusepa na kuelekea kwa daraja hilo! Kudadadeki, alipita kama yuko uwanja wa mpira!
 
Mkuu aaaa hapo siji hata kwa mzinga maana hapo naona kama kule kunako uwana watu kila kukicha kunakoitwa taaleban maana huko kuna kila aina ya maharamia akina boko haram na al kaeeda na ali shababu ni bora nibaki huku huku na dona langu na mrenda na kipande cha papaa wa kuchoma

Hahahahahaaaa!
Njoo bhana usiogope! Huku fulu neema!
Na hata ukidondoka mamba wa kwetu hawang'ati sana!
 
Hahahahahaaa! Unaogopa tu, kuna siku tulimkuta mwizi geto, ile kutuona akaanza kusepa na kuelekea kwa daraja hilo! Kudadadeki, alipita kama yuko uwanja wa mpira!

Kwi kwi kwi unenichekesha sana iyo inaitwa kujihami yaani bora mkono ukatike kuliko kukamatwa
 
Daraja la hivyo uvuke sana sana hatua 15, sasa hilo hata mwisho wake hukuoni! Labda mwenyeji uwe unagawa bangi kwa kila mpitaji...
 
Back
Top Bottom