Karibuni nyumbani...................


Yote maisha, msijali huku nao wanaandaa chakula.
 

Huku ni nyuma ya nyumba nadhani mtaenjoy vyakutosha.
 
utapoteaje na utakuwa na best yako hapa ambaye ndio mchoraji wa ramani ya mjengo huo...

Kwani wewe unahusika na haya maujuzi? Si naskia umespesholaizi kwenye ukaguzi kama ODM?

ukiwa getini nibip niwe nakuja kukuchukua ili usipotee

Wewe utataka kupotelea kitandani kwangu lol

Hautapotea kwani ramani ya nyumba atapewa kila mmoja.
Ondoa shaka juu ya hilo.

Kusoma sijui, hata kutazama picha sijui pia
 
Maujuzi ya uchoraji ramani ya nyumba na ukaguzi yanashahabiana sana...lazima ujue kona zote za maungo kama ilivyo kona zote za ndani ya nyumba....

Kwani wewe unahusika na haya maujuzi? Si naskia umespesholaizi kwenye ukaguzi kama ODM?
 
"A successful man is one who can lay a firm foundationwith the bricks others have thrown at him"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…