Hiyo nyama inaitwa La dolce vita. Ni tamu sana, tena Boflo huwa anakula mbichimbichi, na kipaji halisi huwa anakula ikiwa na damu zake. Mbuzi Mzee hapendi kabisa kuila hiyo nyama akiwa amevaa rain coat.
Mimi siwezi kukaribia mbaka unijibu yafuatayo:
Ni nyama ya mnyama gani?
Nani aliyechinja,ni muislamu au mkristu?
Kama vipi bora nile mboga za majani na samaki!