Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,876
- 55,756
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] watu mna kumbukumbu sana.Mkuu hayo mafuta yote yanaingia kwenye mwili wako, wakati ndio mtu unayesisitizia Afya kwa Sana.
MBONA NAONA KAMA HIVYO VIPANDE VIWILI VYA NYAMA VINAELEA KWENYE HILO DIMBWI LA CHUZI, AU MACHO YANGU TUUUU!!! ANYWAY SIYO MBAYA. KULE KWETU KANDA YA ZIWA ZIGO LOTE HILO LINATUMIWA NA VIJANA WAWILI TU BAADA YA KUTOKA KUCHUNGA ILE MIFUGO YETU!!
yo siyo mafuta bali supu iliyotokana na nyanya.Mkuu hayo mafuta yote yanaingia kwenye mwili wako, wakati ndio mtu unayesisitizia Afya kwa Sana.
Kijijini kwenu wap mahembe, mkongoro, manyovu, kibondo, kasulu, uvinza etcAisee! MziziMkavu Hivi kumbe upo? Mm nilidhani umekamatwa na madawa ya Kulevya Maana huko Istanbul sio mchezo..
Ila hicho chakula umenikumbusha kijijini kwetu.. Mchuzi wa mawese
HahahahaNgoja nitafute embe au ndizi na pilipili. Nije fasta
[emoji23][emoji23][emoji23]Ohooooo!!!
Nini tofauti kati ya "supu ya nyama" na "mchuzi wa nyama". Nisije kuwa nabishana na Chief Coocker bila kujua.ha
yo siyo mafuta bali supu iliyotokana na nyanya.
Aisee bado hujanishika kirahisi hivyo. Ninacho kiamini mimi ni kwamba "too much of any thing is harmful"Mafuta ya kuku orignal hayana madhara hayo.