Karibuni mvinyo

Mkuu naona upo Lindi manispaa maeneo ya Lindi Oceanic Resort, katika picha kwa juu naona majani ya mvinje... Daaah mkuu soon nitakuwa hapo kikazi, nikifika nitakutafuta , hilo meli wakapime screpa tu
Aisee uko sahihi kabisa mkuu
 
Aisee mkuu we ni mzalendo sana
Kwanza Una maji ya MLIMA KILIMANJARO
Pili Uko na Mvinyo wa Dodoma
Tatu watuoneshea Ziwa sijui Bahari ya wapi hiyo
but ni hapa TZ

Kwakweli Tanapa wanatakiwa kukulipa kwa hayo matangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…