Karibuni Mlo wa usiku huo jamani

Mihogo ya kuchemsha kwa samaki halafu inaonesha ina unga sana kwa kweli nimeitamani ghafla na samaki tena, hapo umeniua kabisa
 
kama hao kolekole wamechapuzwa ukali na pilipili,pilau yako siitaki.
 
Duh yaani ndo naamka saaa hizi nina njaaa nakutana hicho kitu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…