Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,904
- 172,784
Naona kama kiungo cha binadamuMmmmh huoni kalio na paja la mtu!! wee Preta unatukaribisha kula nyama ya binaAdamu!!?!!!?
Khaswa !! ndo tukakaribishwa fasta fasta!!Naona kama kiungo cha binadamu
Mmh mioyo imekaa kama masomething somethingHiyo ni mioyo wangu.....a.k.a booster ya baba.........wewe huli hiyo......utakula mbavu...........
Njoo mpaka Makuyuni kama unatokea Dar....halafu urudi taratibu mpaka Kijenge......kata kushoto.......
mmh !!! Ivo hiyo biashara ulianza lini?!!! Khaa na mbuzi weupe wana minofu kama ya Adami...!! hapo tumestuka eti Evelyn Salt kweli ulishaga onaga that something?Sio binadamu bana.........hao ni mbuzi tena walikuwa weupe.............karibu nawe ujilie.........
Wengine hatuli red meat na mbaya zaidi hiyo nyama ya mbuzi ndo sili kabisa.
Nimeokoka mwenzio.Na biyaa........