Hapa nyendo.. Karibu tule mbumbo na nsanyuse.
Du ya wapi hiyo mkuu? Ni viazi vya kuponda na karanga ya kusaga au ni kitu gani?
Hii tunaita "mbumbo"
Hapo bila mishkaki ya kurashia rashia juu, hujanipata. Najidai 'nimefunga'
Masaka, nyendo. Kuna ka restaurant karibu na Dembe Lyo International.... Wanapika vizuri sana.
uwiiiiiiiiii loooih
Hahahaha nimefunga haraka haraka.....ukija kwangu ntakupikia hiko lol subir niwaombe recipe
Kitamu sana. Give it a try...