Karibuni Lunch wapendwa

mbona hajachunwa bwana Boflo?? huyo si kitimoto...
 
Last edited by a moderator:
Wiwiwiwiiiiii!!! utumbo wangu natapika jamani. Mhm! Siledi gani hii ningejua nisingeClick
 
Ndio maana wana gesi! Kumbe ndio siri ya mafanikio, haya Bagamoyo changamkieni gas-maker hiyo, kuleni na manyoya yake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…