hamza mtelela
Member
- Aug 27, 2016
- 7
- 3
Mazingila ni mazuri sana na nilafiki kwa mwanachuo......
Chuo kiko wapi?kinatoa fani zipi?kwa level ipi ya elimu i.e cert,dip etc,hata ukieleza gharama siyo mbaya,natumaini utakuwa umewasaidia wanajukwaa,thnx!Mazingila ni mazuri sana na nilafiki kwa mwanachuo......
kama yeye ndio anasoma hapo tunatatizo kubwa sanaMazingila = Mazingira
Nilafiki = ni rafiki
Ndungu yangu mazingir yko vzur xnaaaaaMazingila = Mazingira
Nilafiki = ni rafiki
Ndio bt kuanzia mwaka huu 2017 diploma iipooo.....Kinatoa diploma au degree
Ujue unawaharibia wenzio soko.Uandishi huu nani apeleke kijana wake.Mazingila ni mazuri sana na nilafiki kwa mwanachuo......
Ndungu yangu mazingir yko vzur xnaaaaa