Wale wapenzi wa filamu za Tanzania, haitakuwa vibaya kama kwa pamoja tukajitokeza siku ya misa ya nguli wa filamu ambaye aliweza kutikisa vizuri katika tasnia hiyo marehemu Steven Kanumba, ambayo itafanyika siku ya jumapili jioni pale Leaders Club. Lakini Misa hiyo pia itafanyika kanisani..... By Soma