Karibuni kwenye group "" SAUTI YA WATANZANIA"" face book


silver25

silver25

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
744
Likes
1
Points
0
silver25

silver25

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
744 1 0
Napenda kuwakaribisha wana Jamii Forum Wote kwenye Group ya SAUTI YA WATANZANIA tuweze badilishana mawazo na kupeana Taarifa ya kinachoendelea hapa Nchini kwetu Tanzania.
Group hili linaruhusu Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na Tanzania kujadili mambo mbalimbali yakiwemo Kero, na hata kusifia Hatua mbali mbali ambazo selikali imefikia katika kuendesha Gurudum hili la Maendeleo,,
Pia linatoa fursa ya kutoa maoni na dukuduku za wana group na wale wanaoziona kuzifanyia Kazi,, karibuni sana nitafurahi nikiwaona kuja kujiunga kwenye Group hilo
 

Forum statistics

Threads 1,239,203
Members 476,441
Posts 29,345,577