Karibuni kwenye graduation yangu week end hii

Mwenzangu hata mie nimeshanga...

meona hii si bure kuna yaliyo nyuma ya pazia

Hakuna hata yaliyo nyuma ya pazia.Ni mmoja wa marafiki wangu wa karibu so huwa tunashauriana mambo mazuri maana navyowajua nyie hamchelewi kwenda kunisemea kwa mume wangu mwisho nipigwe bila sababu......lol
Cc: Khantwe missneddy
 
Last edited by a moderator:

mbona unajihami lol si tumeuliza tu
 
Last edited by a moderator:
Hakuna hata yaliyo nyuma ya pazia.Ni mmoja wa marafiki wangu wa karibu so huwa tunashauriana mambo mazuri maana navyowajua nyie hamchelewi kwenda kunisemea kwa mume wangu mwisho nipigwe bila sababu......lol
Cc: Khantwe missneddy

Teeh hivi hapo alikuwa anakushauri au anakuamuru?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom