Kwa hiyo naruhusiwa kuja?
Hamna ruhusa ata yakunyanyua mguu kwenye iyo sherehe yao
Kwani kuna nini jamani?
Hapana tu
Me sipendi ubishi honey
Hamna ruhusa ata yakunyanyua mguu kwenye iyo sherehe yao
Afadhali umekuja miss neddy, huyu Honey Faith mbishi kweli
umekuwa mume wake au?
Mwenzangu hata mie nimeshanga...
Lipi miss