Kimsingi anamaanisha kuwa wewe unamkuna vilivyo😊. Anakuskilizia kama utaendelea kumpa huo msaada.
Kwa kifupi mwana ameyakanyaga na kuyatimba. Na huyo mwanamke ni mpuuzi...ipo siku na wewe atakuingiza katika upuuzi, tuombee tu isiwe siku mbaya.
Hapo wewe jifanye daktari mpe ingredients za kumpa mme wake wajaribu taratibu, kama vile awe anampikia uwatu, vyakula vyenye karanga, mkate wenye asali na kupunguza mafuta.