Umesahau Pia Kusema Ukila Chakula hichi Utaishia Kulala Mzungu Four tu na Mwenzi wako. Vyakula kama hivi Haishauliwi Kuliwa na Mwanaume Mchapa kazi. Hii ni Menu ya akina dada. Avoid eating thse types of Lojolojo "It will be frable and loose all the time", Take care man.
Yes, bila we hapa JF !! ......tutasepa zamani !!karibu sana
Mkuu usik unataka ule dona…?.mkuu hii menu kiafya yafaa sana usiku.
Ahsante kwa kuniitaMkuu farkhina natamani angetokea hapa, hatakiwi kupitwa hapa
Ila siku moja moja uwe unakula hivi mkuu,
nimependa hizo sausage tu aisee
Angalia Sana aina ya Chakula ili Ujenge heshima kwenye Ndoa yako, Vinginevyo safari za Bibie kwenda Kusalimia kwao Itakuwa Kila Wakati.