Karibuni kitoweo

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Mambo ya likizo hayo nyumbani karibuni sana.
 

Attachments

  • 1418280235357.jpg
    85.3 KB · Views: 364
Wakati wenzetu wanawafundisha kugundua mabomu huku kwetu hali ni tofauti....
 
Wanakaangwa, wengine wameshaandaliwa wanasubiriwa waipuliwe waliopo kikaangoni kisha hao kwenye beseni nao wawekwe kikaangoni
 
Watu wa mbozi mkoani mbeya wanakula sana mipanya tena ile mikubwa sana
 
weee chinga hao ni panya road ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…