Karibuni kitoweo kizuri hiki jamani.......

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhh wako kwenye mafunzo wakimaliza wakatupe bunju
 
mhh,, kweli kila mtu na kwao, yaani hapo kama anachinja kakuku vile mwanamke hodari huyo
 
Hicho ni kitoweo maarufu sana kwa warundi waishio mkoani Tanga kwenye mashamba ya mikonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…