Animation mngeiingiza kwenye maigizo mngepiga hatua sana. Kikubwa ni kuendelea kujifua kwenye animation.
Japo adsense hailipi kivile ila animation videos zikiwa za vichekesho unaongeza viewers na unajenga brand inayoweza kukusaidia kupenyeza bidhaa zingine humo ndani.
View attachment 1069701
Courtesy of
miamiatz