Paschal Ruta
Member
- Jul 16, 2016
- 42
- 27
katika workshop yenu mnafundisha 3D max??Kama una maswali au mapendekezo yoyote ya jambo ambalo ungependa kujua kuhusu 3D Animation au Visual Effects, unaweza kunitumia.
katika workshop yenu mnafundisha 3D max??
Wamikoani tuku text kwenye number IPI?View attachment 1064182
Napenda kuchukua nafasi hii kutangaza kuwa ninaandaa Free Workshop ya siku moja inayoitwa 'Introduction to 3D Animation and Visual Effects'
Ratiba ya Workshop hiyo itakuwa kama ifuatavyo:
View attachment 1064183
- 2D vs 3D - Let's clear the confusion
- Why do we do Visual Effects? What exactly are Visual Effects? The answer to this question will surprise you.
- What does it take to be a 3D Animator and/or a Visual Effects Artist? There is room for everyone, even you.
- Relationship between 3D Animation and Visual Effects.
- 3D Animation Workflow - Quick Breakdown from Modeling to Final Rendering
- Visual Effects Workflow - Quick Breakdown
- Recommended software you need to be good at
- Equipment and Tools you need to be familiar with
- Building a strong local Community of Artists - A Short Discussion
- Conclusion
Workshop hiyo itafanyika Jumamosi 13/04/2019, Nafasi Art Space iliyopo Mikocheni nyuma ya ofisi za ITV kuanzia 9:00 am.
Kama ungependa kushiriki katika Workshop hii, unaweza kutuma jina lako na ujumbe mfupi wa 'NITASHIRIKI' kwa namba 0762-688-222 kwa text ya kawaida au kwa WhatsApp.
Tafadhali wataarifu wengine ambao unadhani wanaweza kufaidika na mafunzo haya.
Ni muhimu sana kujiandikisha mapema.
Asante sana mkuu kwa kuandaa hii kitu.
Kabla sijaamua kuja au la nna swali linaniumiza sana kichwa kwanini tz kuna wataalam wa visual effects lakini wanashindwa kuongeza vionjo kwenye bonho movie?
Au equipments ni ghali sana.
Courtesy of miamiatz
Good idea mkuu.View attachment 1064247
Napenda kuchukua nafasi hii kutangaza kuwa ninaandaa Free Workshop ya siku moja inayoitwa 'Introduction to 3D Animation and Visual Effects'
Ratiba ya Workshop hiyo itakuwa kama ifuatavyo:
- 2D vs 3D - Let's clear the confusion
- Why do we do Visual Effects? What exactly are Visual Effects? The answer to this question will surprise you.
- What does it take to be a 3D Animator and/or a Visual Effects Artist? There is room for everyone, even you.
- Relationship between 3D Animation and Visual Effects.
- 3D Animation Workflow - Quick Breakdown from Modeling to Final Rendering
- Visual Effects Workflow - Quick Breakdown
- Recommended software you need to be good at
- Equipment and Tools you need to be familiar with
- Building a strong local Community of Artists - A Short Discussion
- Conclusion
View attachment 1064264
Workshop hiyo itafanyika Jumamosi 13/04/2019, Nafasi Art Space iliyopo Mikocheni nyuma ya ofisi za ITV kuanzia 9:00 am.
Tafadhali wataarifu wengine ambao unadhani wanaweza kufaidika na mafunzo haya.
Kama ungependa kushiriki katika Workshop hii, unaweza kutuma jina lako na ujumbe mfupi wa 'NITASHIRIKI' kwa namba 0762-688-222 kwa text ya kawaida au kwa WhatsApp. Unaweza pia kutuma kwa email info@natronstudios.com.
Ni muhimu sana kujiandikisha mapema.
Nina idea kuhusu animation, natumia blender and 3d max. Nitashiriki mkuu tuongeze chachu
Sent using Jamii Forums mobile app
HATUA mtu asiye na knowledge au fahamu hii kitu anakaribishwa( beginner's)
Sent using Jamii Forums mobile app