Karibuni kanisani kwa Gwajima hapa Kibo!!

Karibuni kanisani kwa Gwajima hapa Kibo!!

Code imeeleweka Sogeeni kanisani kwa Gwajima muda huu hapa neno linatupita

Kama upo Dsm fanya kusogea kanisani kwa Gwajiboy Chaaap

Soon tunaanza ibada tupo wengi
 
wavimba_20251206_072626_0000.png
 
Sawa code imeeleweka!
Ngoja nimpitie mzee wa kanisa asije akasahau "kisonzo cha sadaka" ntakuja na "kasilaha" kadogo kudhibiti wale "wanyemeleaji" wa mwili wa Bwana katika sikukuu hii ya utakaso!
 
Naona nyumbu mpo kwenye harakati zenu za kinyumbu za kumuona nyumbu mwenzenu analiwa na mamba ila ndani ya sekunde 3 mnasahau na kusema siyo mamba yule ni gogo mwisho mnaliwa wote
 
Back
Top Bottom