TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
TATIANA ninachokifanya ni kuweka vitu vilivyo kwenye chati sasa hivi duniani iwe nguo nk
Ili ukiviona kupitia hapa kwenye mall yetu ya jf unaweza kuvitafuta kwenye maduka popote pale ukawa wa kisasa
Pia hata wewe ukiona chochote kizuri unaweza kukiweka hapa kwa manufaa yetu pia
Kwa maelezo zaidi rejea uzi huu mwanzo.
Thanks Kibo10 nimeelewa barabara sasa
Last edited by a moderator: