wala hatukufuati ndani!tunasubiri wakati wa kumrudisha,hapo ni no discussion!!!Vyumba vingi mkuu. Mpaka awe mwenyeji ndio atanidaka!
... au Camera TrickHii lazima itakuwa nyumba ya vibwengo.
Naomba building permit...
mkuu hilo getto lako ukifumaniwa huna pa kukimbilia!!