Karibuni Chama kipya cha Siasa - Arusha Declaration Alliance

Karibuni Chama kipya cha Siasa - Arusha Declaration Alliance

Status
Not open for further replies.

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,757
Tunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;

MUDA: 26 Novemba, 2016, Jumamosi, kuanzia saa 8 mchana.

UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.

MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Kaimu Katibu Mwenezi & Mr. Frank - 0715734747 Kaimu Mweka Hazina)

NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 380,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria tu.
LIDUMU AZIMIO LA ARUSHA
 
Chama chenyewe mbona kama cha MTU Fulani?
Du kweli siasa inalipa vyama vinaongezeka tena hii maana yake vyama vilivyopo havitoshi?
 
Arusha Declaration mnaijua lakini? Bora mnemualika mzee Chissano wa Msumbiji
 
Karibuni sana, tuikomboe nchi yetu pendwa Tanzania kwa pamoja. Tumedhamiria kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020.
 
Warda mbona anajibu shombo hivyo? kulikoni hamjamlipa mshahara?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom