karibuni chakula wanachit chat

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
kwa wale wakina ruttashobolwa wanaita matoke au wale wakina mangi wanaita machalali. Karibuni sana.
 
asante ila unakula late sana mkuu
 
Ainisha basi hiyo midiko!
Ndizi kwa chachandu la Noa au ?
 
Daaah asante yani umekula siku ya mechi ya watani wa jadi.
 
Daaah asante yani umekula siku ya mechi ya watani wa jadi.

Halafu mume mwenzangu hapo ukute hizo ndizi zina mix ya fish/noah/nyama, maharage karot, bamia, ngogwe mafuta ya kiasi nyanya kitunguu na chumvi weeee!
 
Halafu mume mwenzangu hapo ukute hizo ndizi zina mix ya fish/noah/nyama, maharage karot, bamia, ngogwe mafuta ya kiasi nyanya kitunguu na chumvi weeee!

lazma niombe poo kwa madiko yote hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…