Karibuni chakula, nimeakiandaa mwenyewe

Huyo kuku anaoneka ulimchinja

Hiyo ya pembeni sijaelewa ni salo, saladi au kachumbari? Nimeambulia vibamia tu kwenye kibakuli. Kuku kachinjwa kisu kinaanzia kisogoni kuja mbele. Mzima?
 
huu ni uchoyo wa kiwango cha SGR mkuu, utaandaaje vitu ambavyo unajua kabisa hakuna atayetamani?
 
Vichwa vya kuku na makanyagio yake huwa mnapata ladha gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…